Malaysia

مليسيا
Malaysia
Bendera ya Malaysia Nembo ya Malaysia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Bersekutu Bertambah Mutu
("Umoja ni nguvu")
Wimbo wa taifa: "Negaraku"
Lokeshen ya Malaysia
Mji mkuu Kuala Lumpur1
3°08′ N 101°42′ E
Mji mkubwa nchini Kuala Lumpur
Lugha rasmi Kimalay
Serikali
Yang di-Pertuan Agong (Mtawala Mkuu)
Waziri Mkuu
Shirikisho, Ufalme
Abdullah al-Haj
Ismail Sabri Yaakob
Uhuru
kutoka Uingereza (Shirikisho la Kimalay pekee)
Shirikisho (na Sabah, Sarawak na Singapore2)

31 Agosti 1957
16 Septemba 1963
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
330,803 km² (ya 67)
0.3
Idadi ya watu
 - 2019 kadirio
 - 2010 sensa
 - Msongamano wa watu
 
32,772,100 (ya 42)
28,334,135
92/km² (ya 116)
Fedha Ringgit (RM) (MYR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
MST (UTC+8)
-- (UTC+8)
Intaneti TLD .my
Kodi ya simu +60
1 Putrajaya ni makao makuu ya serikali
2 Singapore ilikuwa nchi ya pekee tar. 9 Agosti 1965.


Ramani ya Malaysia.

Malaysia ni nchi ya Asia ya kusini-mashariki kando ya Bahari ya Kusini ya China.

Ina sehemu mbili ambazo ni:

Upande wa rasi Malaysia imepakana na Uthai na Singapore. Sehemu ya Borneo imepakana na Brunei na Indonesia.

Kisiasa Malaysia ni shirikisho la majimbo 13 na maeneo ya shirikisho 3.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search