Maputo


Jiji la Maputo
Jiji la Maputo is located in Msumbiji
Jiji la Maputo
Jiji la Maputo

Mahali pa Jiji la Maputo katika Msumbiji

Majiranukta: 25°58′00″S 32°35′00″E / 25.96667°S 32.58333°E / -25.96667; 32.58333
Nchi Msumbiji
Mkoa Maputo Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,200,000
Maputo inavyoonekana kutoka bahari
Barabara kuu ya Lourenço-Marquès (leo: Maputo) mwaka 1905

Maputo ni mji mkuu wa Msumbiji. Hadi 1976 ilijulikana kwa jina la Kireno la Lourenço-Marquès. Serikali mpya ya Msumbiji huru chini ya rais Samora Machel iliipa jina jipya la Maputo.

Mji una wakazi 1,200,000 (pamoja na mitaa ya nje: 1,800,000). Uchumi wake unategemea sana bandari yake kwenye hori ya Maputo ya Bahari Hindi.

Mito miwili inaishia kwenye hori ni Tembe na Maputo.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search