Matendo ya huruma

Matendo ya Huruma, mchoro wa Msanii wa Alkmaar, Alkmaar, Uholanzi, 1504 hivi.

Matendo ya huruma ni orodha ya shughuli ambazo katika mapokeo ya Ukristo huangaliwa kama hatua za kuonyesha upendo.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search