Mipingo ni kata ya Wilaya ya Lindi Mjini katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Msimbo wa posta ni 65221.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,542 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,926 [2].
Kwenye kata ya Mipingo, karibu na kijiji cha Nambiranji, kuna kilima cha Tendaguru kilichojulikana kimataifa kama mahali pa kupatikana kwa visukuku bora, hasa mifupa ya dinosauri kutoka kipindi cha Jura.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search