Misratah

Misrata Downtown Square.

Misratah (pia: Misrata au Misurata) ni mji wa Libya, wa tatu kwa wingi wa wakazi (400,000 mwaka 2019). Kati yao thuluthi mbili ni Waturuki kwa asili.

Unapatikana upande wa magharibi wa nchi. 32°22′39.12″N 15°05′31.26″E / 32.3775333°N 15.0920167°E / 32.3775333; 15.0920167


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search