Mlima Athos

Mlima ulivyo.

Mlima Athos unapatikana katika rasi ya Athos iliyopo katika Ugiriki Kaskazini Mashariki na tangu kale (walau mwaka 800) ni mahali pa monasteri za kiume za Kanisa la Kiorthodoksi.

Mlima huo, wenye urefu wa mita 2033 juu ya usawa wa bahari, umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia mwaka 1988.[1]

Mlima Athos unavyoonekana kutoka Kaskazini Magharibi.
  1. "Mount Athos". UNESCO World Heritage Convention. United Nations Educational Scientific and Cultural Organization. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search