Mwai Kibaki

Mwai Kibaki (1931-2022)
Mwai Kibaki
Mwai Kibaki
Rais wa tatu wa Kenya
30 Desemba 2002 – 9 Aprili 2013
Jimbo la uchaguzi Othaya
Tarehe ya kuzaliwa 15 Novemba 1931
Mahali pa kuzaliwa kijiji cha Gatuyaini,
tarafa ya Othaya, wilaya ya Nyeri
Tarehe ya kifo 21 April 2022
Chama hadi 1991 KANU, halafu DP, 2002 NARC
Alingia ofisini 2002
Alitanguliwa na Daniel arap Moi
Dini Mkristo Mkatoliki
Elimu yake chuo kikuu cha Makerere, LSE London
Digrii anazoshika M.Sc. (Public Finance)
Kazi mwalimu wa chuo, mwanasiasa


Mwai Kibaki (1931-2022) alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kuanzia mwaka 2002 hadi 2013 akiwa ametanguliwa na Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta na rais wa pili Daniel Arap Moi. Jina lake la kubatizwa ni Emilio Stanley .[1]

  1. https://www.britannica.com/biography/Mwai-Kibaki

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search