Nguzo

Nguzo za Bunge la Ufini huko Helsinki.

Nguzo (kwa Kiingereza: column au pillar) ni sehemu ya jengo inayobeba uzito wa juu.

Katika Ukristo, Mtume Paulo alifananisha Kanisa na nguzo ya ukweli (1Tim 3:15).

Katika Uislamu, mambo matano yanahesabiwa kuwa nguzo zake.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search