| |||||
Kaulimbiu ya taifa: (hakuna) | |||||
Wimbo wa taifa: Nashid as-Salaam as-Sultani | |||||
Mji mkuu | Maskat | ||||
Mji mkubwa nchini | Muskat | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali | Ufalme Haitham bin Tariq Al Said | ||||
{{{sovereignty_type}}} Waosmani kufukuzwa |
1741 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
309,500 km² (ya 70) (kidogo sana) | ||||
Idadi ya watu - Julai 2019 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
4,975,0001 (ya 129) 2,773,479 13/km² (ya 216) | ||||
Fedha | Rial (OMR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+4) (UTC+4) | ||||
Intaneti TLD | .om | ||||
Kodi ya simu | +968
- | ||||
1Ndani ya idadi ya wakazi kuna watu 577,293 wasio raia |
Usultani wa Omani (kwa Kiarabu:سلطنة عُمان Saltanat ˤUmān) ni nchi ya Bara Arabu katika Asia ya Magharibi.
Imepakana na Maungano ya Falme za Kiarabu, Saudia na Yemen, halafu Bahari Hindi na Ghuba ya Omani.
Utawala wa nchi hufuata muundo wa kifalme usiobanwa na masharti ya katiba.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search