Palestina

السلطة الوطنية الفلسطينية
As-Sulta Al-Wataniyya Al-Filastīniyya

Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina
Bendera ya Mamlaka ya Palestina Nembo ya Mamlaka ya Palestina
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: --
Wimbo wa taifa: Biladi
Lokeshen ya Mamlaka ya Palestina
Mji mkuu Ramallah na Gaza hali halisi kama makao ya ofisi za serikali.
Yerusalemu ya Mashariki ni mji mkuu wa Palestina unaotazamiwa.
31°46′N 35°15′E
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini Gaza
Lugha rasmi Kiarabu
Serikali
Mahmoud Abbas
Rami Hamdallah
Katiba
Uhuru
ilitangazwa
Hali

15 Novemba 1988
Haitambuliwi
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
6,220 km² (ya 169)
3.54
Idadi ya watu
 - 2015 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
4,682,467 (ya 123)
595/km² (ya 18)
Fedha Shekel ya Israel
Dinari ya Yordania
(JOD, ILS)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
  (UTC+2)
  (UTC+3)
Intaneti TLD .ps
Kodi ya simu +970b

-

a West Bank pekee.
b si rasmi.


Palestina (kwa Kiarabu: فلسطين‎ filasṭīn, falasṭīn; kutoka Kilatini: Palaestina; kwa Kiebrania: פלשתינה Palestina) ni jina la eneo lililoko upande wa Mashariki wa Bahari ya Mediteranea kati ya mkingo wa bahari hiyo na mto Yordani. [1]

  1. "Whats Palestine". Iliwekwa mnamo 2025-02-10.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search