Patara (Lisia)

Lango la mji.

Patara (kwa Kigiriki Πάταρα, Patara) ulikuwa mji wenye bandari huko Lisia kwenye pwani ya Uturuki wa leo, karibu na kijiji cha Gelemisref name="Peschlow">Peschlow, Urs (2017), "Patara", katika Niewohner, Philipp (mhr.), The Archaeology of Byzantine Anatolia, New York: Oxford University Press, ku. 280–290, doi:10.1093/acprof:oso/9780190610463.003.0025</ref>.

Mtume Paulo alifika huko mwaka 58 na kubadilisha meli katika safari yake ya kuelekea Yerusalemu (Mdo 21:1-3).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search