Polynesia

Pembetatu ya Polynesia
* 1. Polynesia * 2. Hawaii * 3. New Zealand * 4. Kisiwa cha Pasaka * 5. Samoa * 6. Fiji * 7. Tahiti

Polinesia (kutoka Kigiriki: πολύς, polius, vingi, + νῆσος, nesos, kisiwa, yaani visiwa vingi) ni eneo la visiwa 1,000 hivi katika Pasifiki ya kati na kusini.

Laenea kati ya Hawaii, Nyuzilandi na Kisiwa cha Pasaka. Eneo hili laitwa "Pembetatu ya Polinesia".


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search