Polynesia ya Kifaransa

Polynésie française
Polinesia ya Kifaransa
Bendera ya Polynesia ya Kifaransa Nembo ya Polynesia ya Kifaransa
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "Tahiti Nui Mare'are'a"
"Tahiti kubwa katika mvuke wa dhahabu"
Wimbo wa taifa: La Marseillaise
[[Image:|250px|Lokeshen ya Polynesia ya Kifaransa]]
Mji mkuu Papeete
°′  °′ 
Mji mkubwa nchini Papetee
Lugha rasmi Kifaransa
Serikali
Rais wa Ufaransa
Rais wa Polynesia ya Kifaransa
Eneo la ng'ambo la Ufaransa
François Hollande
Édouard Fritch
Eneo la ng'ambo la Ufaransa
Sikukuu ya Mapinduzi ya Ufaransa
14 Julai (1789)
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
4,167 km² (ya 173)
12
Idadi ya watu
 - [[]] kadirio
 - 2012 sensa
 - Msongamano wa watu
 
(ya 177)
268,270
76/km² (ya 130)
Fedha CFP franc (XPF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-10)
(UTC)
Intaneti TLD .pf
Kodi ya simu +689

-



Polinesia ya Kifaransa (kwa Kifaransa: Polynésie française; kwa Kitahiti: Pōrīnetia Farāni) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika Pasifiki ya kusini. Eneo lake ni mafunguvisiwa mbalimbali ya Polinesia.

Kisiwa kinachojulikana zaidi ni Tahiti pamoja na mji mkuu wake wa Papeete ambayo ni pia mji mkuu wa eneo lote.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search