Saksonia Chini

Mahali pa Saksonia ya chini katika Ujerumani
bendera ya Saksonia ya chini

Saksonia ya chini (Kijerumani:Niedersachsen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 7,9 kwenye eneo la 47 609 km². Mji mkuu ni Hannover. Waziri mkuu ni Stephan Weil (SPD).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search