Senegal

République du Sénégal
Jamhuri ya Senegal
Bendera ya Senegal Nembo ya Senegal
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Un Peuple, Un But, Une Foi
(Kifaransa: Taifa moja, Lengo moja, Imani moja)
Wimbo wa taifa: Pincez Tous vos Koras, Frappez les Balafons'
Lokeshen ya Senegal
Mji mkuu Dakar
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini Dakar
Lugha rasmi Kifaransa
Serikali Jamhuri
Macky Sall
Sidiki Kaba
Uhuru
kutoka Ufaransa
20 Juni 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
196,712 km² (ya 87)
{{{percent_water}}}
Idadi ya watu
 - 2023 kadirio
 - 2015 sensa
 - Msongamano wa watu
 
18,384,660 (ya 66)
13,508,715
93.3/km² (134)
Fedha CFA Franc ({{{currency_code}}})
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
UTC (UTC+0)
(UTC)
Intaneti TLD .sn
Kodi ya simu +221

-


Senegal

Senegal (pia Senegali) ni nchi ya Afrika ya Magharibi iliyopo upande wa kusini wa mto Senegal.

Imepakana na Mauritania upande wa kaskazini, Mali upande wa mashariki, Guinea na Guinea-Bisau kusini na Bahari Atlantiki upande wa magharibi.

Nchi ya Gambia inazungukwa na eneo la Senegal isipokuwa upande wa bahari.

Visiwa vya Cabo Verde viko km 560 mbele ya pwani ya Senegal.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search