Siku tatu kuu za Pasaka

L.F. Schnorr von Carolsfeld alivyochora Akina Maria watatu kwenye kaburi la Kristo, mwaka 1835 hivi.
Mwaka wa Kanisa kadiri ya kalenda ya liturujia ya Roma kama kielelezo cha kawaida kwa Ukristo wa magharibi.
Mwaka wa liturujia
Magharibi
Mashariki

Siku tatu kuu za Pasaka ndizo kiini cha mwaka wa Kanisa.

Zimekusudiwa kumuadhimisha Yesu mteswa, mzikwa na mfufuka, yaani:

Siku hizo tatu ni kama bawaba kati ya Kwaresima na kipindi cha Pasaka. Ingawa tarehe zinabadilika kila mwaka, zinaangukia daima kati ya Machi mwishoni na Aprili mwishoni.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search