Sitini

Sitini (kutoka Kiarabu ستون) ni namba inayoandikwa 60 kwa tarakimu za kawaida na LX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 59 na kutangulia 61.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 x 5.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search