Slovenia

Republika Slovenija
Jamhuri ya Slovenia
Bendera ya Slovenia Nembo ya Slovenia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}}
Wimbo wa taifa: Zdravljica
Lokeshen ya Slovenia
Mji mkuu Lyublyana
46°03′ N 14°30′ E
Mji mkubwa nchini Lyublyana
Lugha rasmi Kislovenia, Kiitalia1, Kihungaria1
Serikali Jamhuri
Borut Pahor
Janez Janša
Uhuru
imetangazwa
25. Juni 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
20,273 km² (ya 154)
0.6%
Idadi ya watu
 - Julai 2014 kadirio
 - 2002 sensa
 - Msongamano wa watu
 
2,061,085 (ya 144)
1,964,036
101/km² (ya 106)
Fedha Euro (EUR) tangu tarehe 1.1.2007 (SIT)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .si
Kodi ya simu +386

-

1 Katika miji yenye watu wengi wa utamaduni wa Kiitalia au Kihungaria.



Slovenia ni nchi ya Ulaya ya Kati, mashariki kwa milima ya Alpi.

Imepakana na Italia, ghuba ya Adria ya bahari ya Mediteranea, Kroatia, Hungaria na Austria.

Mji mkuu pia mji mkubwa ni Lyublyana (kwa Kislovenia: Ljubljana).

Ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na wa Umoja wa Ulaya.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search