Sofa

Sofa kadhaa katika maeneo ya ufukwe wa bahari.

Sofa (kutoka neno la Kiingereza lilitokana na Kituruki likiwa na asili ya Kiarabu suffa, yaani "sufu"; pia kochi kutokana na Kiingereza "couch") ni kiti cha starehe cha kisasa kinachoundwa kwa kutumia mbao magodoro na kitambaa maalumu.

Sofa ni maarufu sana: kwa sasa hutumika sehemu mbalimbali kama nyumbani, ofisini, katika masaluni n.k.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search