Sri Lanka


இலங்கை சனநாயக சோசலிசக் குடியரசு, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijamaa ya Sri Lanka
Bendera ya Sri Lanka Nembo ya Sri Lanka
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa:
Wimbo wa taifa: Sri Lanka Matha (Sri Lanka Mama)
Lokeshen ya Sri Lanka
Mji mkuu Sri Jayawardenapura
6°54′ N 79°54′ E
Mji mkubwa nchini Colombo
Lugha rasmi Kisinhala, Kitamil
Serikali Jamhuri
Ranil Wickremesinghe
Dinesh Gunawardena
Uhuru
kutoka Uingereza
ilikubaliwa
4 Februari 1948
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
65,610 km² (ya 122)
4.4
Idadi ya watu
 - 2020 kadirio
 - 2012 sensa
 - Msongamano wa watu
 
22,156,000 (ya 57)
20,277,597
337.7/km² (ya 24)
Fedha Rupia ya Sri Lanka (LKR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+5:30)
(UTC)
Intaneti TLD .lk
Kodi ya simu +94

-


Ramani ya Sri Lanka.

Sri Lanka (pia Sirilanka, kwa Kisinhala Śrī Laṃkāva, kwa Kitamil Ilaṅkai; hadi mwaka 1972: Ceylon) ni nchi ya kisiwani katika Asia ya Kusini.

Iko karibu na ncha ya kusini ya rasi ya Uhindi katika Bahari Hindi.

Nchi imekaliwa na watu walau kuanzia miaka ya 125,000 KK na ilizidi kupata umuhimu kutokana na mahali ilipo.

Mji mkuu ni Sri Jayawardenapura.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search