Taipei


Jiji la Taipei
Nchi Jamhuri ya China
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,619,920
Tovuti:  www.taipei.gov.tw
"Shilin Night Market"

Taipei ni mji mkuu wa Jamhuri ya China kwenye kisiwa cha Taiwan. Ni pia mji mkubwa wa Taiwan.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 10 wanaoishi katika mji huu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search