Tetemeko la ardhi

Mji wa San Francisco (Marekani) baada ya tetetemo la ardhi la mwaka 1906.

Tetemeko la ardhi (pia: zilizala) ni mishtuko ya ghafla ya ardhi. Inatokea mara kwa mara, lakini mara nyingi ni hafifu mno: haisikiki na wanadamu ila tu inapimwa na mitambo ya wataalamu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search