Timotheo

Timotheo, mmoja kati ya maaskofu wa kwanza, alivyochorwa katika Nuremberg chronicles f 109v(1493).
Picha takatifu ya Kiorthodoksi.

Timotheo (labda Listra, 17 hivi - Efeso, 97) ni mfuasi mpendwa wa Mtume Paulo, halafu mwandamizi wake.

Anaheshimiwa kama askofu mtakatifu na Kanisa Katoliki hasa tarehe 26 Januari[1] na Waorthodoksi tarehe 22 Januari.

Paulo alimuandikia barua mbili zilizopokewa katika Biblia kati ya Nyaraka za Kichungaji. Habari zake tunazipata humo na katika Matendo ya Mitume

  1. Martyrologium Romanum

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search