Tokelau

Ramani ya Tokelau
Mahali pa Tokelau

Tokelau ni kundi cha atolli tatu katika Pasifiki ambazo ni eneo la New Zealand. Atolli za Atafu, Nukunonu na Fakaofo ziko kaskazini ya New Zealand na upande wa mashariki wa Guinea Mpya. Visiwa vya karibu penye watu ni Samoa kwa umbali wa 480 km.

Idadi ya wakazi ni mnamo 1400 wanaosema lugha yao ya Kitokelau na kiasi cha Kiingereza.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search