| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "Satyameva Jayate" (Kisanskrit) Kidevanāgarī: सत्यमेव जयते ("Ukweli pekee hushinda") | |||||
Wimbo wa taifa: "Jana Gana Mana" | |||||
Mji mkuu | New Delhi | ||||
Mji mkubwa nchini | Mumbai | ||||
Lugha rasmi | Kihindi, Kiingereza na lugha nyingine 21 | ||||
Serikali | Jamhuri ya Maungano Ram Nath Kovind Narendra Modi | ||||
Uhuru -ndani ya Jumuiya ya madola -kama Jamhuri |
Kutoka Uingereza 15 Agosti 1947 26 Januari 1950 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
3,287,590 km² (ya 7) 9.6 | ||||
Idadi ya watu - 2018 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
1,352,642,280 (ya 2) 1,210,193,422 384.8/km² (ya 31) | ||||
Fedha | Rupia (Rs.)1 (INR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
IST (UTC+5:30) not observed (UTC+5:30) | ||||
Intaneti TLD | .in | ||||
Kodi ya simu | +91
- | ||||
1 Re. is singular |
Uhindi (pia: India) ni nchi kubwa ya bara la Asia, upande wa kusini, ikienea hasa katika rasi kubwa ya Bahari ya Hindi.
Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa idadi ya wakazi (1,352,642,280 mwaka 2018) ni nchi ya pili baada ya China. Kati ya nchi za kidemokrasia ndiyo yenye watu wengi zaidi duniani. Tena inakadiriwa kwamba miaka ya hivi karibuni itapiku China.
Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar.
Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 29 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search