Uislamu nchini Rwanda

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Rwanda ni dini yenye wafuasi wachache mno nchini humo, inaabudiwa na watu asilimia 2 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo - kwa sensa ya mwaka wa 2012. Wako zaidi upande wa mashariki wa nchi na katika miji mikubwa. Sehemu kubwa ya Waislamu wa Rwanda ni wale wa dhehebu la Sunni.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search