Katika hisabati, utoaji (kwa Kiingereza: subtraction) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na mgawanyiko, jumla na dharuba). utoaji ni kinyume cha jumla. Alama ya utoaji ni "-".
Kwa usahihi, utoaji ni mchakato wa kuondoa thamani ya namba moja katika thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 5 - 2 = 3.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search