| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "Jepilpilin ke ejukaan" | |||||
Wimbo wa taifa: Forever Marshall Islands | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Majuro | ||||
Mji mkubwa nchini | Majuro | ||||
Lugha rasmi | Marshallese, Kiingereza | ||||
Serikali | Hilda Heine | ||||
Uhuru kutoka Marekani |
21 Oktoba 1986 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
181 km² (ya 213) ‘‘(kidogo sana)’’ | ||||
Idadi ya watu - Julai 2009 kadirio - 2021 sensa - Msongamano wa watu |
68,000 (ya 205) 42,418 233/km² (ya 28) | ||||
Fedha | US Dollar (USD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+12) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .mh | ||||
Kodi ya simu | +692
- |
Visiwa vya Marshall ni nchi ya visiwani ya Mikronesia katika Pasifiki ya magharibi.
Nchi jirani katika bahari ni Nauru, Kiribati, Shirikisho la Mikronesia na eneo la Marekani la Kisiwa cha Wake.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search