Kwa dhana ya jiometri na hisabati, angalia makala ya Pandeolwa
Wanda (wingi: "nyanda") ni kipimo cha urefu kinacholingana na upana wa kidole kimoja au karibu inchi moja. Vipimo vya kufanana vilitumiwa katika nchi na tamaduni mbalimbali kwa kutumia upana wa kidole gumba.[1]
Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili, si kipimo sanifu cha kisasa.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search