Waziri

Waziri (kutoka neno la Kiarabu) ni afisa wa serikali anayeongoza wizara pamoja na idara mbalimbali zilizo chini ya wizara hiyo. Waziri ambaye ni kiongozi wa serikali nzima huitwa Waziri Mkuu au kansela[1](Ujerumani na Austria).

Katika baadhi ya nchi k.v. Marekani, Kenya na Ufilipino, kiongozi wa wizara huitwa katibu.

  1. "Angela Merkel ateuliwa na rais wa shirikisho kuwa kansela", Yusuf Saumu, ilipatikana 21-03-2018.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search