Zeze

Watu wa kabila la Gogo wakiimba na kupiga Zeze

Zeze ni ala ya muziki ya Afrika Kusini kwa Sahara.

Inaundwa na ngozi juu ya tungi la kitoma au ubao ulio bapa na shingo ndefu yenye nyuzi kadhaa kama za gitaa. Hupigwa kwa kuchezesha nyuzi hizo kwa kuzipiga au kuzicharaza ili kutoa sauti.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search