Glodesinda (pia: Glodesind, Chlodsendis, Clodeswide, Closind, Closseinde, Clothsend, Clotsend, Glossine; 578 hivi - 608 hivi) alikuwa abesi wa monasteri aliyoianzisha huko Metz, leo nchini Ufaransa, baada ya kukataa ndoa na kulelewa kitawa na dada wa mzazi wake, Rotilda wa Trier [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira.
Sikukuu yake ni tarehe 25 Julai[2].
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search