Kibantayanon

Kibantayanon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabantayanon. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibantayanon imehesabiwa kuwa watu 71,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibantayanon iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search