Kihajong

Kihajong ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wahajong. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihajong nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 63,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihajong iko katika kundi la Kiaryan.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search