Kiila

Kiila ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Waila. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiila imehesabiwa kuwa watu 71,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiila iko katika kundi la M60.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search