Kikambera

Kikambera (pia Kisumba-Mashariki au Kihilu-Humba) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakambera kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikambera imehesabiwa kuwa watu 240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikambera iko katika kundi la Kisumba-Hawu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search