Kikoch

Kikoch ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wakoch. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikoch nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 30,000. Pia kuna wasemaji 6000 nchini Bangladesh (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoch iko katika kundi la Kisal.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search