Kikoho ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wakoho. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikoho imehesabiwa kuwa watu 166,000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoho iko katika kundi la Kibahnariki.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search