Kikoya

Kikoya ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakoya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikoya imehesabiwa kuwa watu 362,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoya iko katika kundi la Kigondi-Kui.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search