Kikumam ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wakumam. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumam iko katika kundi la Kinilotiki.
Mwaka wa 2014 idadi ya wasemaji wa Kikumam imehesabiwa kuwa watu 270,000.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search