Kilandoma

Kilandoma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Walandoma. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilandoma imehesabiwa kuwa watu 14,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilandoma iko katika kundi la Kiatlantiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search