Kilipo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Walisu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilipo imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilipo iko katika kundi la Kingwi.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search