Kimbunda

Kimbunda ni lugha ya Kibantu nchini Angola na Zambia inayozungumzwa na Wambunda. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimbunda nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 135,000, na nchini Zambia kuna wasemaji 156,000 (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbunda iko katika kundi la K20.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search