Kimongondow

Kimongondow ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamongondow kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimongondow imehesabiwa kuwa watu 230,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimongondow iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search