Kiontong-Java

Kiontong-Java ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waontong-Java kwenye kisiwa cha Lord Howe. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiontong-Java imehesabiwa kuwa watu 2370. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiontong-Java iko katika kundi la Kioseaniki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search