Kiotuho

Kiotuho (au Kilotuko) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waotuho. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kiotuho imehesabiwa kuwa watu 135,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiotuho iko katika kundi la Kinilotiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search