Kipaulohi

Kipaulohi (pia Kisolehua) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapaulohi kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kipaulohi imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaulohi iko katika kundi la Kimaluku.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search