Kiphu-Thai

Kiphu-Thai ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam, Laos na Uthai inayozungumzwa na Waphu-Thai. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiphu-Thai nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu 470,000. Pia kuna wasemaji 187,000 nchini Laos (2005) na 209,000 nchini Vietnam (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphu-Thai iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search