Kiporohanon

Kiporohanon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waporohanon kwenye kisiwa cha Camotes. Idadi ya wasemaji wa Kiporohanon imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiporohanon iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search