Kiromblomanon

Kiromblomanon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waromblomanon kwenye visiwa vya Romblon, Sibuyan na Tablas. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiromblomanon imehesabiwa kuwa watu 94,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiromblomanon iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search